| SRSCHOOL

Wasiliana nasi

kuhusu sisi

Tunafanya mambo makubwa kwa njia bora

Tunauzoefu wa muda mrefu katika mambo yanayohusu kanisa. Kama vile kutangaza, kuhubiri na kushauri jinsi watu wanapaswa kuendeleza kazi ya Mungu. katika mchakato wa kujenga jamii bora inayomcha Mungu na kufanya mapenzi yake.

Pia tunatoa mchango mkubwa katika kusaidia uongozi wa kanisa na maktaba mbalimbali zinazoshughulika na kutangaza kazi ya Mungu hasa katika ulimwengu huu wa sasa.

Tena kupitia huduma zetu za mitandao, tunaweza kuwaunganisha kwa ukaribu, viongozi wa kanisa na waumini.

Bili