MASHARTI YA MATUMIZI

Kwa kutumia Ghalani mwa Bwana, unakubali masharti yafuatayo:

1. Matumizi ya Mfumo

Mfumo huu umetengenezwa kwa ajili ya huduma za kanisa, maktaba, na soko la vitabu vya Kikristo.

2. Akaunti ya Mtumiaji

3. Maudhui (Content)

Watumiaji wanaoruhusiwa kupakia vitabu au mahubiri lazima:

4. Manunuzi

Kwa vitabu vinavyouzwa:

5. Matumizi Mabaya

Hairuhusiwi:

6. Kusitisha Huduma

Tuna haki ya kusimamisha akaunti yoyote inayokiuka masharti haya.

7. Mabadiliko ya Masharti

Masharti yanaweza kubadilishwa bila taarifa ya awali.

8. Sheria

Matumizi ya mfumo yatafuata sheria za nchi husika.

Rudi Nyumbani